Tuesday 11 December 2012

Pepo la ngono lahamia kwenye Football - MRISHO NGASA ndani ya video ya ngono


Ama kweli wabongo kwa Ngono tumerogwa............... Haya sakata la ngono lapiga hodi kwa wacheza mpira sasa...........Mcheza Mpira Maarufu wa Team ya Simba Mrisho Ngasa  ameripotiwa na gazeti  la  Ijumaa kuwa ameingia katika kashfa ya kujirekodi video huku akifanya mapenzi  ... ili kuonyesha wana uhakika na wanachokisema gazeti hilo linadai kuwa lina video hiyo ambayo ina dakika kama 15 na inaonekana wakiwa uchi wa mnyama na msichana.

0 maoni: