Tuesday 11 December 2012

Mpenzi mpya wa Wolper hadharani.........................

Pamoja na kumfichaficha sanaaa  hatimaje Wolper amweka wazi mpenzi wake mpya... na hii ilitokea siku ya birthdays ya mdada huyo iliyofanyika kwa mashamsham na mbwembwe kibao   kwenye ukumbi wa Synergy Lounge, Oysterbay, Dar es Salaam!!!!!!!!Wambeya wa mji tulidokezwa kuwa Mdada - Wolper alimtambulisha mpenzi wake  huyo mpya kwa wageni waalikwa ambao wengi wao walikuwa ndugu, jamaa na marafiki! cha ajabu na kushangaza Wolper alikataa kutaja jina la mpenzi wake huyo na zaidi ya hayo  akaomba mpenzi wake asipigwe picha hata ya kwenye simu na akisisitiza kuwa wana maana kubwa katika kufanya hivyo............... Ila kama unavyojua wabongo kwa udaku wakaogopa kumpiga kwa mbele  wakafanikiwa kumpiga nyuma.


0 maoni: