Monday 29 April 2013

Baada ya uzushi wa kutaka kugombea UBUNGE kumuandama mama mzazi wa ZITTO KABWE afunguka


Mama mzazi wa Mwanasiasa machachari na Mbunge wa Kigoma  Kaskazini  ZITTO KABWE kaamua kufunguka kuhusu fununu za yeye kugombea UBUNGE ....  Mama huyo anayefahamika kwa jina la Shida Salum ameongea na moja ya vyombo vya habari na kusema kuwa hana mpango wa kugombea ubunge katika jimbo lolote nchini, mama huyo aliendelea kusema kuwa  yeye ni mwanachama wa Chadema  na atabaki kuwa mwanachama, Mama Zitto pia aliweka wazi wa wafidha wake wa  Mwenyekiti wa Chama cha Walemavu Taifa (Chawata),”

0 maoni: