Monday 29 April 2013

Msaada kwenye tuta - Kila nimalizapo kufanya tendo la ndoa mgongo unauma.

Habari zetu Wadau wa Xtreme79
Ni imani yangu mu wazima..... Jamani naomba msaada wa tatizo langu hili . Hii ni wiki ya nne sasa toka nianze kupata maumivu ya mgongo kila baada ya kumaliza kufanya mapenzi, sijajua nini tatizo kila ila nimalizapo kufanya mapenzi baada ya dakika 45 au saa nzima  naanza kusikia maumivu makali mgongoni hasa  mwanzo wa makalio.... Pls Pls naombeni ushauri au msaada wa Tiba manake inanikosesh raha hadi nimeanza kuogopa kufanya mapenzi.

Uncle T.  Dar es salaam

0 maoni: