Friday, 5 December 2014

Sababu za kumfanya mwanamme kuwa na hawara


¡) KUTOJUA DHAMANI YA MUMEWE mfano anaona ni mtu wa kawaida sana wakati kuolewa leo ni bahati sana kwasababu huduma zote za ndoa zinapatikana hata usipooa kuna makahaba wengi tu wanatafuta hata mume wa kumweka ndani wanakosa mbaya zaidi kuna WANAWAKE WENYE TABIA NA SURA NZURI hawajaolewa na wanatamani waolewe 

¡¡) DHARAU NA KIBURI. mfano unakuta mke kosa dogo tu anaukuza na kufoka, kutukana, na hata kumpiga mumewe anamdhalilisha, anamtishia kumfukuza ondoka kwa nyumba mumewe,hampokei anapotoka kazini au safari, ananunanuna bila sababu za msingi nk. 

¡¡i)HANA SHUKRANI mfano unakuta mume anajitahidi kumnunulia mkewe zawadi kama chupi,sidira,viatu,nguo nzurinzuri za kisasa nyingi tu na vizawadi vingine vidogodogo kama choklate nk then mwanamke huyo anaona ilikuwa haki yake kupewa na kuwa navyo wakati yeye hata siku moja hajawahi mnunulia mumewe hata malapa ya 2000 na mumewe huyo ukimwangalia ana pea moja ya viatu soksi na suruali mbili na masharti matatu aliyonunua mwenyewe 

¡v)KUTOTII AMRI YA MUME mfano unakuta mume kuna tabia hapendi ka mawasiliano ya usiku na wanaume au wfanyakazi wenzake wa kiume unamkataza anakubali but for fewz day unakuta wanachati tena kwa sms whatsp na calling hapa napo atakataa hana mahusiano nao ya kimapenzi yeye 

V)MWANAMKE KUKIRI KOSA NA KULIRUDIA KOSA LILELILE mfano unakuta mmegombana na kosa alilifanya mwanamke anakiri vizuri sana ila baada ya siku tatu nne anarudia kosa lile lile

Kikosi Kazi wa JF

Related Posts:

  • Hodi hodi wana hot n town! Mie ni mdada  wa makamo naishi Dar es salaam .... shida yangu kubwa naombeni msaada wa kujua maeneo gani ya mwili wa mwanaume yakiguswa au kufanyiwa chochote yanampa raha muhusika  k… Read More
  • Wiz Khalifa and Amber Rose are married? Just married! Wiz Khalifa and Amber Rose secretly tied the knot in Los Angeles on Monday  Big news: The 25-year-old rapper was the first to announce the happy news on his Twitter page Overjoyed: Only mome… Read More
  • Msaada ............ Nataka kuvunja ndoa kisheria Habari zenu Wadau wa  Extreme79! Natumai mu wazima na mnaendelea vyema kulisukuma gurudumu la maendeleo.  Naomba msaada wetu katika hili.........Mimi ni mume wa mtu niliyefunga ndoa mika 6 iliyopita,… Read More
  • Mimba ya Penny yatoka? TAARIFA ya ndani zinazodai kwamba, mimba ya mchumba wa Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nassibu Abdul ‘Diamond’, Peniel Mgilwa ‘Penny’ imechoropoka zimevuja na Risasi Jumamosi imezinasa. Kwa mujibu wa chanzo makini kili… Read More
  • Diva na Hudda bifu bado? Kama utakua ni muumini wa twitter lazima utakuwa unajua kinachoendelea kati ya mshiriki wa BBA kutoka Kenya  (2013), Huddah na mtangazaji Diva Loveness love. kiufupi ni tweef ( bif kupitia twitter) kisa kikiwa ni CMB… Read More

0 maoni: