Thursday, 6 March 2014

Umaarufu kazi: Linah asema hawezi kuolewa na Mwanaume mfupi

MWANADADA mwenye sauti tamu kutoka Jumba la Vipaji Tanzania (THT), Esterlina Sanga ‘Linah’ amesema katika maisha yake kamwe hafikirii kuja kuolewa na mwanaume mfupi kwani siyo sampuli yake. Akipiga stori na paparazi wetu juzikati, Linah alisema atakuwa si mkweli akitamka ana mwanaume mfupi kwani hata jamii itamcheka kwa kuwa hata Amini Mwinyimkuu aliyewahi kuwa mpenzi wake ni mfupi.

“Nisiongee uongo kusema eti sipendi kutoka kimapenzi na mwanaume mfupi wakati nilishawahi kufanya hivyo na siwezi kujiapiza katika hilo, ila kwenye swala la ndoa lazima nizingatie kigezo changu  muhimu cha kuolewa na mwanaume mrefu,” alisema Linah

Kwa hisani ya GPL
Picha - Mtandao

Related Posts:

  • Ndoa hupangwa na MUNGU! Mama yake Monalisa (NATASHA) achumbiwa..... LICHA ya kuwa mtu mzima mwenye mtoto na wajukuu wawili, staa wa filamu Bongo, Suzan Lewis ‘Natasha’ amechumbiwa. Habari za uhakika kutoka katika chanzo chetu makini zinasema kwamba, Natasha alivalishwa pete ya uchumba… Read More
  • LINNAH ndani ya penzi jipya? KIJANA aliyejipatia umaarufu kwa kumvamia msukuma kambumbu wa Real Madrid, ‘Kaka’, Nagari Kombo amedaiwa kuwa ndiye anayemiliki penzi la Mbongo Fleva, Estalina Sanga ‘Linnah’. Kwa mujibu wa chanzo makini, wawili hao w… Read More
  • Wamama wa LULU na KANUMBA wapatanishwa Mama mzazi wa Kanumba Lulu akiwa na Mama yake mara baada ya kuachiwa kwa dhamana Hatimae mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba amepatanishwa na mama mzazi wa Lulu baada ya mlolongo mrefu na mgumu wa jitihada za kuwap… Read More
  • JOHARI ni mjamzito...... LEJENDARI katika tasnia ya sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ anadaiwa kuwa kitumbo ndii, ishu ambayo imeibua maswali tata kwa watu wake wa karibu huku mwenyewe akichekelea. Kwa mujibu wa chanzo makini cha g… Read More
  • Baada ya LULU kuachiwa kwa dhamana baba wa KANUMBA afunguka. Baba yake Kanumba  KAMA ilivyodhaniwa na wengi kwamba baba wa staa wa marehemu Steven Kanumba, Charles Kusekwa atazungumzia dhamana ya Elizabeth Michael ‘Lulu’,  kweli ameibuka na kusema yupo makini kufuatlia m… Read More

0 maoni: