Katika kuadhimisha miaka 37 ya kuzaliwa kwa CCM baadhi ya wasanii wa filamu nchini wakiongozwa na JB waliamua kuchukua rasmi kadi za uanachama wa chama cha mapinduzi Baadhi ya wasanii hao ni JB, Richie, Irene Uwoya,Hadji Adam, Johari na Amanda poshy.
Tuesday, 4 February 2014
Home »
Siasa
» Miaka 37 ya CCM: Wasanii wa bongo movies wachukua rasmi kadi za uanachama. Yumo JB , Richie, Uwoya, Johari, na wengine
Miaka 37 ya CCM: Wasanii wa bongo movies wachukua rasmi kadi za uanachama. Yumo JB , Richie, Uwoya, Johari, na wengine
Categories: Siasa
Related Posts:
Kuna ukweli wowote katika hili? Chadema wagawa 300,000/- kwa kila mwandishi! CHADEMA wanahaha kugawa pesa kwa kila mwandishi hapa Dodoma Bungeni ili kubeba stori itakayosomwa na Mchungaji Msigwa kesho kwenye hotuba yake yenye kurasa 42 ambayo toka ukurasa wa kwanza mpaka ukurasa wa 42 amemtaja Ki… Read More
Baada ya uzushi wa kutaka kugombea UBUNGE kumuandama mama mzazi wa ZITTO KABWE afunguka Mama mzazi wa Mwanasiasa machachari na Mbunge wa Kigoma Kaskazini ZITTO KABWE kaamua kufunguka kuhusu fununu za yeye kugombea UBUNGE .... Mama huyo anayefahamika kwa jina la Shida Salum ameongea na moj… Read More
LEMA atoa mkwara mzito, asema atamburuza Mkuu wa Mkoa mahakamani.... Akizungumza na waandishi wa habari hii jana katika ofisi ya CHADEMA mkoa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ameelezea nia yake ya kumshitaki Bw.Magesa Mulongo kwa kumtumia ujumbe wa matisho katika simu yake ya mkononi. … Read More
Umejifunza nini kwenye kupitia picha hizi? Hati ya dhamana Baadhi ya mabango Hali ilivyokuwa baada ya dhamana Ndani ya ofisi za Chadema baada ya dhamana Mahakamani … Read More
Msigwa chaliii... Msigwa alipiga mikwara kuwa hotuba yake itakuwa babkubwa, itatetemesha, itakuwa kombora. Hali hiyo ni tofauti na hotuba yenyewe ambayo ililazimika kubadilishwa baada ya kuvuja na kusambaa kwenye mitandao. Hotuba hiyo… Read More
0 maoni:
Post a Comment