Tuesday, 4 February 2014

Chelsea yailaza Manchester City

Manchester City ilikuwa imeshinda mechi zote 11 ilizokuwa imecheza nyumbani kabla ya kukutana na Chelsea. Kadhalika hii ndiyo imekuwa mara ya kwanza Manchester City kushindwa kufunga bao katika mechi za nyumbani tangu mwaka 2010. Bao la Chelsea lilifungwa na Branislav Ivanovic katika kipindi cha kwanza . Kutokana na mechi hiyo Manchester City na Chelsea zina alama sawa lakini Mancity imefunga mabao mengi. Liverpool iko katika nambari ya nne, Everton ni ya tano ilhali Tottenham ni sita huku Manchester United ikishikilia nafasi ya saba.
Kwa hisani ya BBC Swahili

Related Posts:

  • LIVERPOOL FANS: "You'll never walk alone". How did this become the teams moto and why? WHAT DOES IT MEAN FOR YOUR TEAM? HOW IMPPORTANT IS IT? IN WHICH CASES IS IT USED, PRINTED... ETC YOU GET THE IDEA... "You'll Never Walk Alone" was originally part of the great American songbook. It was written by Ri… Read More
  • Pistons yamtema Hasheem Timu ya Kikapu ya Pistons imemtema Mchezaji wake kutoka nchini Tanzania, Hasheem Thabeet ambaye amejiunga na Pistons mwezi septemba akitokea klabu ya Philadelphia iliyokuwa imemchukua kutoka Oklahoma City Thunder. Al… Read More
  • Vigogo wa Fifa,Uefa kikaangoni Maafisa wa Fifa akiwemo Rais wa chama hicho,Sepp Blatter(kushoto) na Michel Platini(Kulia) wamehojiwa kuhusu uhalali wa mkataba wa kuandaa michuano ya Kombe la dunia mwaka 2018 na 2022 kwa Urusi na Qatar. Rais wa Fifa… Read More
  • Okwi: Nitacheza Simba hata bure BAADA ya kufanikiwa kutua Simba, kiungo mshambuliaji mpya wa kikosi hicho, Mganda, Emmanuel Okwi amefunguka kuwa yupo tayari kuendelea kuitumikia klabu hiyo bure. Okwi amesema maneno hayo akimaanisha kuwa yupo tayari… Read More
  • Villas- Boas kujiunga na St.Petersberg Aliyekua Kocha wa Tottenham na Chelsea, Andre Villas-Boas ameridhia kuingia mkataba wa miaka miwili na klabu ya Zenit St Petersburg, taarifa za klabu hiyo ya Urusi zimeeleza. Kocha huyo mwenye umri wa miaka 36, aliyet… Read More

0 maoni: