
Ili kudhihirisha bado wana bifu Baby Madaha jana kupitia kipindi cha Hot Mix cha EATV aliendelea kutoa vidongo juu ya Rais wa Wasafi (Diamond ) .Baby Madaha alisema Diamond ni msanii ‘wahapahapa’ akimaanisha Tanzania na yeye akifahamika kimataifa zaidi . kama haitoshi alisema kuwa pamoja na kufanya muziki, yeye pia ni muigizaji mzuri wa filamu wakati Diamond ni muimbaji peke yake na hivyo kamwe hawezi kuwa level moja ........................
0 maoni:
Post a Comment