Thursday, 21 November 2013

Picha za Babu Seya na Mwanawe Papii leo Mahakamani kwabla na baada ya kushindwa hukumu

Babu Seya(katikati) na mwanae Papii Kocha wakati wakiingia mahakamani mapema leo wakiwa na nyuso za huzuni.

Mwanamuziki Nguza Viking na mwanaye Johnson Nguza 'Papii Kocha'.

Ndugu na jamaa wakiangua kilio baada ya hukumu.

...Akiwa katika huzuni na majonzi makubwa.

Wakili wa Marando, Bwana Mnyele ambaye alikuwa akiwatetea Babu Seya na mwanae akiongea na wana habari mara baada ya rufaa kutupwa.

Kwa hisani ya GPL

Related Posts:

  • DIAMOND ampa mimba mtoto wa shule na kuingia mitini...... MREMBO aliyetimuliwa shule akiwa kidato cha nne baada ya kutundikwa mimba, Sasha Juma ameibuka na madai kuwa amezaa na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. MCHEZO MZIMA - Habari kutoka kwa chanzo ch… Read More
  • Huu ndio Utajiri wa Marehemu Askofu KULOLA NI maswali tata yameibuka baada ya mazishi ya aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Evengelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT), Dk. Moses Samuel Kulola (85) kwamba, ameacha utajiri wa kiasi gani wakati wa uhai wake, Uwazi… Read More
  • Ndoa ya Mzee MAJUTO chali! MWANAMKE anayedaiwa kufunga ndoa ya siri na mchekeshaji mahiri Bongo, Amri Athuman maarufu kama Mzee Majuto au King Majuto, Rahma Abdallah (20 - pichani), ameibuka na kudai kutelekezwa na mumewe huyo. Ndoa hiyo ambayo… Read More
  • Daz Baba Kwishey MASKINI Daz Baba! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia habari ya kusikitisha ya msanii huyo ambaye jina lake kamili ni David Jacob kunaswa akiwa amezima mjini hapa huku ulevi wa kupindukia ukidaiwa kuwa chanzo. Daz Baba … Read More
  • RAY C anajuta kumjua LORD EYES........... Rehema Chalamila ‘Ray C’ akiwa na Lord Eyez enzi hizo. INAWEZEKANA umekuwa ukisikia vitu vingi kuhusu lejendari wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ lakini hukupata chansi ya kumsikia mwenyewe akifunguka mwanzo mwis… Read More

0 maoni: