Gari aina ya Toyota Spacio baada ya kuteketezwa kwa moto na Berry White.
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Berry White.
MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva kutoka Zanzibar, Berry White anadaiwa kuliteketeza kwa moto gari la mpenzi wake aina ya Toyota Spacio baada ya kuhisi anasalitiwa na wandani wake huyo.
Kashfa ya mapenzi yamwandama Hollande
Rais wa Ufaransa François Hollande, ametishia kuwachukulia hatua za kisheria wahariri wa jarida moja nchini humo lililochapisha taarifa za uvumi kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na mwanamke mmoja muigizaji Julie Gayet. …Read More
0 maoni:
Post a Comment