Monday, 18 November 2013

Makahaba watumia ARV'S badala ya Kondomu

Madaktari nchini Kenya wameelezea wasiwasi kuhusu matumizi mabaya na ya kiholea ya dawa za dharura ambazo zinanuiwa kuwakinga waathiriwa wa ubakaji kutokana na maambukizi ya virusi vya HIV.
Dawa hizo zinazojulikana kama PEPS, zinapaswa kupewa mwathiriwa baada ya daktari kuthibitisha kuwa kweli yuko katika hali ya hatari ya kuambukizwa virusi vya HIV, na hutolewa tu na wataalamu wa matibabu ya HIV. Lakini mwandishi wetu Zainab Deen aligundua kuwa wanawake makahaba wamegundua njia za kupata dawa hizo.
Kwa hisani ya BBC Swahili
Picha na kenyan2013

Related Posts:

  • 8 Utterly Insane Human Records Indian citizen, Anthony Victor, holds the record of the most ear hair. We’re not quite sure how proud one should be about this fact, but Victor has hair measuring up to 7.12 inches sprouting from the center of his outer ea… Read More
  • ‘Rais Banda ashtakiwe’ Taasisi isiyo ya kiserikali inayoshughulikia mambo ya utawala bora na maendeleo nchini (The Center for Good Governance and Development in Tanzania -CEGODETA), imeitaka Serikali ya Tanzania kumshtaki Rais wa Malawi, Joyce … Read More
  • Dunia ina mambo !......Kijana wa miaka 32 answa na kibibi kizee cha miaka 80 Tukio hilo la kustaajabisha limetokea mwishoni mwa wiki iliyopita, nyumbani kwa bibi huyo, Yombo –Buza, jijini Dar es Salaam ambapo wajukuu wa bibi huyo ndiyo waliomnasa. Kwa mujibu wa chanzo chetu, wajukuu wa bibi hu… Read More
  • Zahoro Matelephone akamatwa na sembe Oman Aliyekuwa  Mfanyabiashara mashuhuri wa simu za mkononi hapa Tanzania  Zahoro Matelephone (mwenye shati la mikono mirefu pichani) inasemakana amekamatwa Oman kwa tuhuma za kukakatwa na madawa ya kulevya, Baadhi ya… Read More
  • Kope za bandia zampofua macho mrembo AMA kweli hujafa hujaumbika, mrembo Khadija Omar, mkazi wa Kigogo, Dar amepata pigo kufuatia kupofuka macho alipokuwa akiwekwa nyusi bandia katika saluni moja iliyopo maeneo hayo, Risasi Jumamosi lina mkasa … Read More

0 maoni: