Monday 18 November 2013

Busara inahitajika hapa....... Kama kuna watu wa karibu jaribuni kumaliza tofauti zao




Nikiwa kama blogger na mpenda amani na maendeleo nafikiri kuna haya ya watu hawa kukutanishwa na kumaliza tofauti zao..... sijui kama wana ugomvi au la ila binafsi nashinda kuelewa baadhi ya post zao kwenye mitandao ya kijamii zikionyesha wazi bifu kati yao........ Nikiwa kama mdau maisha na habari zao  najisikia vibaya  sana ninapoona wanarushiana maneno yasiyo na tija kiasi cha kushushana hadhi.... Najua watu hawa wana marafiki wa karibu au hata ndugu ,please popote mlipo jaribuni kuwakalisha chini ili kama wana tofauti ziishe kabisa plsssssssssssss

0 maoni: