Taarifa zenye uhakika zimeweka bayana kuibuka kwa tabia ya ushoga katika shule ya Sekondari ya Makongo hasa kwa wanafunzi wa bweni. Inasemekana kuwa Patron wa wanafunzi hao amekuwa kinara wa kamchezo hako kwani baadhi ya wanafunzi wamedhibitisha kuwa ana mtu wake kati ya wanafunzi hao........ na imekuwa kawaida kwake kuwaruhusu wanafunzi wengine kufanya mchezo huo mchafu kwa nje na ndani ya shule kwa rushwa ya hela . Kupitia baadhi ya wanafunzi wanaolala hapo bwenini wamethibitisha kuwa eneo la maalumu wanaloharibikia watoto hao kwa kutafutiwa mabwana ni Saloon iliyopo karibu na ofisi za CCM Mwenge sehemu mabasi yanapoingilia, imefahamika kuwa sehemu hii imekuwa maarufu kwa Wanaume wenye tabia za kishezi za kuwaharibu watoto wa watu
Sunday, 20 October 2013
Wazazi kuweni makini ......Ushonga wakomaa Makongo Sekondari
Categories: OMG
Related Posts:
Chezea hela wewe? Mke wa mtu apozwa na Millioni 15 MWANAMKE aliyetajwa kwa jina moja la Winfrida ambaye ni mke wa mtu amekwaa aibu ya karne baada ya kudaiwa kutaka kuuza kiwanja ambacho si mali yake na kujipatia fedha isivyo kihalali kutoka kwa mtu aitwaye Stanlaus Hajj ‘S… Read More
Mary J. Blige's father in 'critical condition after being stabbed three times by former girlfriend' Tragedy: Mary J. Blige's father Thomas is in critical condition after being stabbed three times, reportedly by a former girlfriend Mary J. Blige's father is in critical condition after being stabbed during a domesti… Read More
Abakwa kwa amri ya wazee wa kijiji India Mshukiwa wa kitendo cha ubakaji Polisi nchini India wamewakamata wanaume 13 waliohusishwa na genge la wanaume waliombaka msichana mwenye umri wa miaka 20 katika jimbo la Benghal Magharibi. Inadaiwa wanaume, hao walim… Read More
Mwinjilisti aua mke, ajinyoga MKAZI wa Kijiji cha Gama, wilayani Bagamoyo, Elikia Daniel (35), ambaye pia ni Mwinjilisti wa Kanisa la Anglikan katika kijiji hicho, amekutwa amejinyonga baada ya kufanya ukatili wa kumuua mke wake, kwa kumkata panga kichwa… Read More
Justin Bieber akamatwa na polisi Mwanamuziki mashuhuri duniani Justin Bieber,amekamatwa na polisi nchini Marekani kwa kosa la kuendesha gari akiwa mlevi. Polisi katika mji wa Miami Beach, wamesema kuwa mwanamuziki huyo mwenye umri wa miaka 19 pia ali… Read More
0 maoni:
Post a Comment