“Ninaamini Mungu yupo...anasikia,anaona na ndiye mwenye kuhukumu kwa Haki...!!!!Dua zangu ziko pamoja na Mzee Nguza na Papii Kocha...!hakuna linaloshindikana mbele ya Mwenyezi Mungu...Kama anaweza kutoa Jaribu basi yeye pia ndo mwenye Uwezo wa kufanya Njia ya kutoka ktk jaribu Hilo...!Mwenyezi Mungu awasimamie katika rufaa yenu...!AMEN”
Saturday, 19 October 2013
Home »
Celebrities News
» People change! Soma maneno aliyoandika Msanii LULU kwenye mtandao wa kijamii
People change! Soma maneno aliyoandika Msanii LULU kwenye mtandao wa kijamii
Categories: Celebrities News
Related Posts:
Igeni na hii Angalia picha zaidi hapa - Nick Minaj … Read More
LULU amponza Dr. Cheni STAA mkubwa wa filamu za Kibongo, Mahsein Awadh ’Dk. Cheni’, amevamiwa na watu wawili wanaodaiwa ni vibaka na kufanyiwa fujo, kisa kikidaiwa kuwa ni dhamana aliyomwekea mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ katika ile kesi ya… Read More
DIAMOND, MARLAW, MWASITI, CHEGGE NA WENGINEO KIBAO KUUPAMBA USIKU WA TUDD THOMAS DAR LIVE … Read More
Bongo bwana? Urafiki wa WEMA na KAJALA kwishney? wapambe ndio chanzo....... KIMENUKA! Utabiri wa wengi kuwa ushosti wa waigizaji masistaduu wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu na Kajala Masanja kutumbukia nyongo unadaiwa kutimia na sasa wametibuana, Ijumaa limenyetishiwa. Habari za ndani kuto… Read More
Family affair? Habari kamili fungua hapa - Family affair … Read More
0 maoni:
Post a Comment