Tafuta vitu vifuatavyo na kila moja kiwe na kiasi cha gram 100 kabla hujavisaga:-
1. Shubiri
2. Ubani
3. Mvuje
4. Ukwaju
Baada ya kupata vitu vyote kama vilivyoorodheshwa hapo juu visage kwa pamoja na kisha ugawanye mchanganyiko huo katika mafungo matatu . Changanya fungu moja na maji kiasi cha chupa mbili na uchemshe kwa dakika kumi. Ipua na iwache ipoe, chuja na hifadhi katika chupa nadhifu.
MATUMIZI YA DAWA YENYEWE
Tumia kila siku kikombe kimoja cha kahawa kabla ya kula chochote asubuhi kwa muda wa siku 13. Ikiisha dawa hii basi chukua fungu la pili na uchemshe kama ulivofanya kwa fungu la mwanzo. Tumia dawa hii tena kwa muda ule ule wa siku 13. Itakapokwisha dawa hii basi chukua fungu la tatu na uitayarishe kamaUlivyofanya mafungu mawili ya mwanzo. Tumia dawa hii kama dawa hizo mbili za mwanzo ila tu kwa muda wa siku 14 , hii itafanya jumla ya siku za kunywa daya kuwa siku 40.
Baada ya siku hizo 40 utajisikia kuwa ugonjwa wa kisukari umekwisha na unaweza kuanza kula vitu vyote ulivyokuwa umekatazwa. Kwa lolote kuhusu dawa hii wasiliana na TANGULA
0 maoni:
Post a Comment