Mwanadada anayefanya vizuri sana kwenye muziki na filamu,baby Madaha amelamba bingo ya uhakika na kampuni ya Candy n’ Candy Records Label ya jijini Nairobi iliyomsainisha mkataba msanii mwingine wa Tanzania Mr.Nice hivi karibuni. Akizungumza kwa simu na bongomovies leo meneja wa msanii huyo Joe Kariuki amesema kuwa pamoja na msanii huyo kupewa mkataba huo wa million hamsini (50) pia wamempa mwanadada huyo gari ya kutembelea ya kisasa aina ya AUDI TT (pichani) na nyumba kali mitaa kijitonyama jijini Dar es salaam.
Pamoja na hayo pedeshee huyo wa Mr.Nice ambaye ndio mmiliki wa studio hiyo amesema wanataka kumuhamishia msanii huyo jijini Nairobi nchini Kenya kwa kipindi cha mwaka mmoja ili afanye nao kazi huko kwani wamegundua kuwa anakubalika sana nchini humo na wapenzi wa muziki.
Thursday, 12 September 2013
Home »
Celebrities News
,
Michezo na Burudani
» Baby Madaha alamba bingo .....Asaini mkataba wa shillingi million 50 na meneja wa mr Nice Kenya; apewa Audi ya kutembelea.
Baby Madaha alamba bingo .....Asaini mkataba wa shillingi million 50 na meneja wa mr Nice Kenya; apewa Audi ya kutembelea.
Categories: Celebrities News, Michezo na Burudani
Related Posts:
EXCLUSIVE: Diddy denies proposing to girlfriend Cassie after flashing a large diamond engagement ring on Instagram and asking if she liked it This is not an engagement ring: Diddy denies to MailOnline he popped the question to girlfriend Cassie when he posted a photo of this rock to his Instagram account Saturday A hoax?: The mogul posted this message two … Read More
Bongo vituko daily!!!!!! WEMA: NIKIFA NIAGWE UWANJA WA TAIFA Kazi ipo! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ambaye huwa haishiwi habari, ameibuka na jipya akidai kuwa akifa leo au kesho basi aagwe Uwanja wa Taifa jijini Dar, Ijumaa Wikienda limemtegea sikio. Miss Tanzania&… Read More
Mali ya hayati Mandela yatangazwa Hayati Nelson Mandela, aliachia familia yake mali yake yenye thamani ya dola milioni 4.1. Sehemu ya mali hiyo pia itatolewa kwa chama tawala ANC, wafanyakazi wake wa zamani na shule kadhaa ambako alisomea. Hayo n… Read More
Makubwa!!!!!KUMBE MZUNGU WA SHILOLE NI MWANAUME TATA! Yeleuuuwi! Siku chache baada ya msanii wa sinema na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ kujinadi na mchumba wa Kizungu aliyejulikana kwa jina moja la Ankar, siri imefichuka kwamba jamaa huyo ni mwanaume tata. Kikiz… Read More
Swaga za Snoop Doggy Dogg ...................Ready for BIZZLE! … Read More
0 maoni:
Post a Comment