Sunday, 22 September 2013

Baada ya Picha zake za utata kusambaa mtandaoni Blogger azidi kuwaponda wasiozielewa picha zake ............ adai ni mambulula!


Kitendo cha Mablogger wenzake kurusha picha zake za utata  kwenye mitandao ya jamii, Kimemfanya Blogger husika aje juu na kuwaponda wasiozielewa picha hizo na kutetea kuwa sio za uchi na wala haoni uchi  kwenye hizo picha
Angalia baadhi ya post alizorusha kwenye blog yake zilizohusiana na picha hizo hapa chini

0 maoni: