Tuesday, 30 July 2013

Kesi ya Makada wa CHADEMA yaendelea kunguruma


Leo Mawakili wa pande zote wametoa maelezo yao huku Upande wa Henry Kilewo na wenzake wakitaka mahakama Kuu ifute mashtaka yanayowakabili kutokana na kutokuwa na uhalali wa kisheria.  Kesi hiyo imeghairishwa hadi tarehe 05/08/2013 ambapo Mahakama Kuu kanda hiyo ya Tabora imepanga kuwa itatoa maamuzi yake juu ya shauri hilo .
Stay tune ....................

0 maoni: