Monday, 3 June 2013

Mahojiano kati ya Millard na M To The P

Leo Millard Ayo ameingia kwenye wodi aliyolazwa rafiki  wa marehemu Gwair M 2 the P na kufanikiwa kufanya mahojiano nae. M 2 the P alikiri kupata nafuu ila alilalamika kuwa kichwa na kifua bado vinamsumbua, katika mahojiano hayo M2 the P alimuulizia Mangwea

Sikiliza mahojiano yao hapa chini


Related Posts:

  • Atajemfanyia LULU sherehe watanifanya nipelekwe SEGEREA STAA wa filamu za Kibongo, Muna (pichani) amefunguka kuwa akiona mtu anajitokeza kumfanyia sherehe msanii, Elizabeth Michael ‘Lulu’ atapambana naye na ikiwezekana atapelekwa yeye Segerea. Muna ambaye alitoa sapoti ku… Read More
  • Wema haishi kwa vituko? arusha picha ya kimahaba na ujumbe mzito .... STAA wa filamu mwenye jina kubwa Bongo, Wema Abraham Sepetu, juzikati alitupia picha yake akiwa kimahaba zaidi na mwanaume aliyedai kuwa ni ‘mume’ wake.Picha hiyo ambayo aliiweka kwenye mtandao wa BBM inamuonesha msanii hu… Read More
  • Miss Tanzania ndani ya penzi la MUME wa mtu? MREMBO ambaye mwaka jana aliiwakilisha Tanzania kwenye Mashindano ya Urembo ya Dunia ‘Miss World 2012’ yaliyofanyika nchini China, amenaswa na mwanaume aitwaye Abed Zagar anayedaiwa ni mume wa mtu, Ijumaa Wikienda limenyet… Read More
  • Ndoa ya Aunt Ezekiel imekufa? KUMEKUWEPO na vijineno vya chinichini kuwa eti ndoa ya msanii maarufu wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel aliyofunga hivi karibuni na Sunday Demonte haipo na wabaya wake wamekuwa wakieneza taarifa hizo kwa kasi ya ajabu. Wa… Read More
  • Mpoto kugombea Ubunge? Mkali wa muziki wa ngonjera Tanzania Mrisho Mpoto a.k.a Mjomba  amefunguka na kuweka wazi nia yake ya kugombea UBUNGE mwaka 2015. Mpoto amesema atagombea ubunge ila hajaweka wazi CHAMA  wala JIMBO atalogombea .… Read More

0 maoni: