Monday 15 April 2013

Neshi amtamani AY?

MWIGIZAJI mwenye mvuto, Yobunesh Yusuf ‘Neshi’ amesema anatamani sana kufanya kazi na Mbongo Fleva, Ambwene Yesaya ‘AY’ kwani anamvutia. Akizungumza na Stori 3, Neshi alibainisha kuwa licha ya AY kufanya muziki na yeye filamu, muonekano wa staa huyo umekuwa ukimvutia kuigiza naye muvi. “Yaani siyo siri AY ananivutia sana, ipo siku nadhani nikifanikiwa kuzungumza naye na akakubali basi nitafanya naye kazi,” alisema Neshi.

0 maoni: