Nakaaya Sumari wiki hii kupitia mahojiano yake ndani ya kipindi cha XXL, aliongea mengi ila kubwa zaidi ni pale alipozungumzia kujilaumu kwake baada ya kurudisha kadi ya Chadema na kuhamia CCM. "moja kati vitu ninavyojutia ni kurudisha kadi ya Chadema na kuingia CCM, najua nimebugi, lakini sio kama watu wanavyoongea kuwa nilipewa hela, kama nilipewa hela si saa hii ningekuwa nakula bata, lakini wapi! mi sijapewa hela.wanajuaje je kama nilitishiwa au vitu vingine kama hivyo..najua hapo nilibugi.Niliingia kwenye siasa kwasababu ya ushawishi wa watu, na nilishawishika kwasababu ya wimbo nilioutoa wakati hui "Mr Politician" lakini baada ya kuingia, niliona kabisa this is not what i can do, siasa ni mchezo mchafu na niliona vinani confuse" amesema Nakaaya
Friday, 26 April 2013
NAKAAYA ajilaumu kurudisha kadi ya CHADEMA na kujiunga na CCM......
Categories: Celebrities News, OMG
Related Posts:
Huu ndio Utajiri wa Marehemu Askofu KULOLA NI maswali tata yameibuka baada ya mazishi ya aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Evengelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT), Dk. Moses Samuel Kulola (85) kwamba, ameacha utajiri wa kiasi gani wakati wa uhai wake, Uwazi… Read More
Baada ya kutuhumiwa kugawa uroda kwa Lucci..... Jokate afunguka Baada ya habari kuzagaa kitaa kuhusu JOKATE kugawa uroda kwa LUCCI ... Jokate kupitia ukurasa wake wa Instagram kaamua kuandika hivi.... Okay leo nimeamua kupitia page yangu ya Instagram ku-address the following pressing… Read More
Angalia Maandalizi ya Video mpya ya Diamond ya Number One … Read More
DIAMOND ampa mimba mtoto wa shule na kuingia mitini...... MREMBO aliyetimuliwa shule akiwa kidato cha nne baada ya kutundikwa mimba, Sasha Juma ameibuka na madai kuwa amezaa na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. MCHEZO MZIMA - Habari kutoka kwa chanzo ch… Read More
RAY C anajuta kumjua LORD EYES........... Rehema Chalamila ‘Ray C’ akiwa na Lord Eyez enzi hizo. INAWEZEKANA umekuwa ukisikia vitu vingi kuhusu lejendari wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ lakini hukupata chansi ya kumsikia mwenyewe akifunguka mwanzo mwis… Read More
0 maoni:
Post a Comment