Msanii wa Bongo movie aliyeteseka lupango kwa muda mrefu na hatimae kuponea kwenye tundu la sindano baada ya kulipiwa faini na mwenzake atoa kali ya mwaka kwa kutoa shukrani ya kuweka alama isiyofutika kwenye mwili wake ............ Msanii huyo KAJALA siku za hivi karibuni baada ya kutoka Mahabusu aliamua kuchora mchoro wa kudumu (TATTOO) kwenye mwili wake eneo la bega na kuandika jina la mtu aliyemlipia faini hiyo (WEMA SEPETU) kama ishara ya shukrani kwa wema aliomfanyia ........................
Kupitia ukurasa wa Wema Sepetu ameiambia millardayo.com kwamba Kajala alikwenda nyumbani kwake na kuchora hii tattoo bila kumwambia, Wema alipouliza kuna nini mbona kama kuna kitu kinaendelea, Kajala alimwambia mtu wa Tatoo asimwambie mpaka walipomaliza kuchora ndio wakamwonyesha huku Kajala akimwambia Wema ni shujaa wake kwa alichofanya.Thursday, 4 April 2013
Home »
Celebrities News
» KAJALA katoa shukrani kwa WEMA SEPETU kwa style ya kipekee
KAJALA katoa shukrani kwa WEMA SEPETU kwa style ya kipekee
Categories: Celebrities News
Related Posts:
Diamond ajikita kwenye mavazi? aibuka na Lebo WCB? Kama unahitaji ujipatie na wewe moja ya bidhaa hizi mawasiliano ni haya +255716186318 +255654019091 … Read More
HATARI!! Kajala alishwa sumu, akimbizwa hospitali. Ni kwenye show ya Izzo business Mwanadada mwigizaji Kajala juzi alikumbwa na dhahama ya kusikitisha baada ya kulishwa kitu kinachosadikiwa kuwa ni sumu alipokuwa kwenye show ya msanii wa muziki kizazi kipya Izzo Business huko. Akielez… Read More
Chelsea pensioner? Blues' star striker Samuel Eto'o is 39 NOT 32 according to the mother of his daughter Annie Chelsea boss Jose Mourinho said Eto'o was probably older than 32 The footballer's ex Anna Barranca has now joined the debate Italian hairdresser says the footballer was born in 1974 A former lover of Chelsea footballer S… Read More
Kiukweli kabisa BABY MADAHA ni photogenic.....Anafaa kuingia mkataba na makampuni ya matangazo!!?? … Read More
Mazito yaibuka : LULU adaiwa kukuwadiwa na STEVE NYERERE! OOHOOO! Elizabeth Michael ‘Lulu’ amekwaa skendo ya kudaiwa kukuwadiwa na mwigizaji mwenzake, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ kwa mwanaume anayedaiwa kutoka naye kimapenzi kwa sasa anayetajwa kwa jina moja la Johnson. C… Read More
0 maoni:
Post a Comment