Friday, 26 April 2013

ISHA MASHAUZI atuhumiwa kuiba pochi yenye zaidi la laki 7

Msanii aliewahi kuchukua tuzo mwaka jana kwa umahiri wake wa kuimba vizuri mziki wa taarabu, Isha Mashauzi,wiki  hii kupitia u heeeeard na Gossip Cop Sudy Brown, ametuhumiwa kuiba pochi la mwenye duka maeneo ya Kariakoo, na huku ikisemekana pochi hiyo ilikuwa na mkwanja wa mauzo, shilingi 758,000.



Related Posts:

  • Majonzi SAKATA la kijana Bonny Fabian Kavishe kudaiwa kumuua kwa kumpiga risasi baba yake, mzee Livingstone Kavishe akiamini ni mwizi sasa ni simulizi ya machozi kufuatia kusomwa kwa waraka mzito ulioandikwa na mtuhumiwa huyo amba… Read More
  • Sheha wa Tomondo omamwagiwa Tindikali Zanzibar Jana usiku mtu asiyejulikana alimvamia Sheha wa Tomondo Mohammed Omary Said (pichani) na kumwagia Tindikali sehemu za uso na kifua na kumsababishia  majeraha na maumivu makali, tukio hilo lilitokea jana usiku wakati S… Read More
  • Familia ya mzee RUKSA matatani? FAMILIA ya Rais wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi imejikuta matatani kufuatia nyumba namba 13, kitalu 33F iliyopo Mtaa wa Mwinjuma, Kinondoni, jijini Dar anayoishi mjukuu wake, Abood Ha… Read More
  • Fashion au? Fungua hapa kujua habari zaidi - Dennis Rodman makes bold fashion … Read More
  • Ipe maneno hii picha Read More

0 maoni: