Vitendo vya kikatili vimekuwa vikitekelezwa katika sura mbalimbali, ila tukio la mtumishi wa Mungu, Padri Celestine John Nyaumba, 35, kumgonga kwa gari makusudi na kumcharanga mapanga mzazi mwenzake ni aibu isiyo na mfano. Padri Celestine, anayetoa huduma kwenye Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph, Homboro, Dodoma, anatuhumiwa kumtendea unyama huo, mzazi mwenzake, Selestina Anania Kibena, 35, Jumamosi iliyopita, Kata ya Kiluvya, Pwani.
Related Posts:
Mwanamke aliyedai kubakwa ahukumiwa Somalia
Mahakama nchini Somalia, imemhukumu kifungo cha nyumbani mwanamke aliyedai kubakwa pamoja na waandishi wawili wa habari waliomhoji kuhusiana na madai hayo. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 19, alipewa kifungo cha nj… Read More
Pamoja tuseme hapana kwa mambo kama haya....MTOTO MIAKA 8 HAUSIGELI
UKATILI! Katika hali ya kusikitisha, mtoto mwenye umri wa miaka 8 aliyejitambulisha kwa jina la Loveness na mwenzake aitwaye Anna, wanadaiwa kulazimishwa kufanya kazi za ndani huku wakipata vipigo vikali kutoka kwa waajiri… Read More
Watu wavamia Kanisa na kuua
Mtu mmoja ameuawa na wengine watatu kujeruhiwa kufuatia shambulizi lililofanywa na kundi la watu wasiofahamika usiku wa kuamkia leo katika kanisa la Gilgal Christian Worship Centre lililopo eneo la Pasiansi wilaya ya Ileme… Read More
Las Vegas woman who was 'sleeping with her son' is on trial for 'orchestrating murder-for-hire plot to kill off husband and cash in on his insurance policy'
Amy Bessey's attempted murder and conspiracy trial began Wednesday in Las Vegas justice court
Bessey, also known as Amy Pearson, allegedly plotted to kill her husband with her son and brother to get his $250,000 life in… Read More
Mall massacre suspects handcuffed in the dock: Four Somalians appear in court accused of helping gunmen carry out Kenya terror attack which left at least 67 dead
Abdi Mohamed Ahmed, Liban Abdulle Omar, Adan Mohamed Ibrahim and Hussein Mustafa Hassan, appear in Nairobi court
All pleaded not guilty to charges of carrying out a terrorist attack by supporting a terrorist group
None… Read More
0 maoni:
Post a Comment