Tuesday, 12 February 2013
Home »
Magazeti pendwa
» Magazeti Pendwa
Magazeti Pendwa
Categories: Magazeti pendwa
Related Posts:
Kweli mapenzi ni sawa na kiti cha basi.......KIGOGO WA WEMA NOMA SANA! aamua kumnasa shosti wa WEMA NOMA sana! Baada ya kupigwa cha mbavu (kuachwa) na Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu huku akimnyang’anya vitu vyote vya ofisini, yule kigogo wa ikulu, Clement a.k.a CK, hivi sasa anadaiwa kutoka na shosti wa staa huyo, … Read More
Chezea hela wewe? MIRATHI YA KULOLA, FAMILIA YAMEGUKA SHETANI ana majaribu yake! Anaendelea kuifuatilia familia ya mtumishi wa Mungu aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Evangelist Assemblies of God Tanzania (EAGT), Marehemu Dkt. Moses Kulola. Habari za karibuni, mpasuko … Read More
Lady Jay dee aomba talaka? UNAWEZA ukakataa lakini ndivyo ilivyotokea, ndoa ya mtangazaji mahiri Bongo,Gardner Gabriel Fikirini Habash ‘Kapteini’ na Mbongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ iliyofungwa miaka 9 iliyopita inadaiwa kuingia k… Read More
Bongo vituko daily!!!!!! WEMA: NIKIFA NIAGWE UWANJA WA TAIFA Kazi ipo! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ambaye huwa haishiwi habari, ameibuka na jipya akidai kuwa akifa leo au kesho basi aagwe Uwanja wa Taifa jijini Dar, Ijumaa Wikienda limemtegea sikio. Miss Tanzania&… Read More
Wimbi la UKAHABA: ALBINO atikisa MIDUME Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa! Mwanadada mwenye ulemavu wa ngozi (albino), Fadhila Omary, mkazi wa Mbezi jijini Dar ametikisa midume na kuzua gumzo nchini baada ya kukamatwa mkoani Morogogo kwenye msako wa makahab… Read More
0 maoni:
Post a Comment