1. Halima………muhudumu naomba unilete salad ya moto, na chupa ya Amarula.

2. Chausiku…..nipe PIN yako niwe nakupigia

3. Siwema….nimechokaje, nimeshinda Shoprite natengeneza nywele

4. Gulo….Boifrend wangu kanambia likizo ya summer mwaka huu London nikale Chrismas

5. Cynthia…Nimenunua BlackBerry wamenambia PIN nikaipitie kesho

6. Fulo....Mi napendaga kusafiri na Presishen, napenda viti vya dirishani, mtu unakaa   unafungua kioo chako hewa safiii mpaka mwisho wa safari.:p 

7. Fatu….kiukweli mi niliipenda London kuliko Uk