Thursday, 31 January 2013

Bwana MISOSI atambulishwa rasmi kwa familia ya mpenzi wake

MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Tamrina Mohamed ‘Amanda’ amemtambulisha mume wake mtarajiwa, staa wa Bongo Fleva, Joseph Rushau ‘Bwana Misosi’ kwa wazazi wake.  Tukio hilo lilichukua nafasi mwishoni mwa wiki iliyopita pande za Msasani Beach, jijini Dar wakati mwigizaji huyo alipokuwa akiadhimisha siku yake ya kuzaliwa, ndipo alipotumia nafasi hiyo kumtambulisha Bwana Misosi kwa mama yake mzazi na mjomba wake.

“Kula keki na kunywa shampeni pamoja na mama yangu, mjomba, mama Dotnata na wageni waalikwa ni ishara tosha kwamba Misosi umekubalika katika familia yetu, jisikie uko nyumbani,” alisikika Amanda.

Related Posts:

  • Mzee Mandela afanyiwa maombi maalum Askofu mkuu wa kanisa la kianglikana mjini Cape Town, Afrika Kusini, Thabo Makgoba, amejitolea kufanya maombi kwa niaba ya rais mstaafu Nelson Mandela ambaye anaugua sana hospitalini. Kasisi huyo anamuombea Mandela a… Read More
  • Mwanawe Museveni asema hana uchu wa madaraka Brigedia Muhoozi Kainerugaba, (wa pili kulia ) akiwa na babake rais Museveni wakati wa sherehe ya kufuzu kwake katika chuo cha mafunzo ya kijeshi nchini Marekani. Mwanawe rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amekanusha madai … Read More
  • BARNABA awaliza watu kwenye mazishi ya mama yake, aishiwa nguvu na kupoteza fahamu ........ Barnaba akiaga mwili wa mama yake Haikuwa rahisi kwa Barnaba kumuaga kipenzi chake Baada ya  kuweka mchanga kaburini Barnaba aliishiwa nguvu na kupoteza fahamu kwa dakika kadhaa Hapa akip… Read More
  • JINI KABULA: Naumwa , nahisi nitakufa STAA wa filamu na muziki Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amekiri kuwa katika wakati mgumu kutokana na kukabwa na mashetani usiku na kumsababishia maumivu makali ya mwili hadi kuhisi kufa. Hivi karibuni Jini Kabula a… Read More
  • Mimba ya Penny yatoka? TAARIFA ya ndani zinazodai kwamba, mimba ya mchumba wa Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nassibu Abdul ‘Diamond’, Peniel Mgilwa ‘Penny’ imechoropoka zimevuja na Risasi Jumamosi imezinasa. Kwa mujibu wa chanzo makini kili… Read More

0 maoni: