Jamani hivi nani kasema mapenzi yana umri au ukifikia umri fulani basi hisia za kimapenzi zinapotea? Hakuna kitu kinachoongeza urefu wa maisha kama mapenzi na hasa ukipata mtu wa kukupenda mkapendana.... mapenzi ya kweli yanaweza umchukie Mungu kwa sababu ya kifo na kuhisi kushindwa kuishi kama mwenza wako atakufa..................... Tupendane, tuheshimiane ili tuweze kuishi maisha yenye amani na furaha...
Tuesday, 11 December 2012
Mapenzi hayana umri!!!!!!!!!!
Categories: Mahusiano
Related Posts:
Utendee haki moyo wako kwa kumpenda mtu sahihi! Naamini mtakuwa wazima wa afya njema tangu tulipoachana hapa wiki iliyopita. Ni imani yangu kuwa somo lililopita lilikuwa zuri lililokufundisha mbinu mpya za kupalilia penzi lako. Kama ndivyo ndiyo furaha yangu, maana… Read More
Sajuki na Wastara ni mfano tosha wa mapenzi halisi na ya kweli.... MUNGU ni sababu ya kila kitu. Juma Issa Kilowoko ‘Sajuki’ ameshatangulia mbele ya haki. Jambo zuri kwetu sisi ni kujifunza kwa yale aliyoyaacha kama mfano wa kuigwa. Yeye na mkewe, Wastara Juma Issa, wameonesha… Read More
Ukibebwa bebeka! ........ hii ni kwa wanaume wote wasiotimiza wajibu wao kwenye familia ... Jamani hapa ndani mpo! Habari za majumbani kwenu, na watoto hawajambo? na wifi naye hajambo? samahani sikumbuki kama nilibisha hodi na wala sina hakika kama nilikaribishwa ila cha muhimu ni ule ujumbe ninaowale… Read More
Wanawake wenye sura hii hawawezi kumuuwa nyoka akafa….! Sura hiyo hapo ni ya mwanamke. Bila shaka umeshwahi kukutana na sura kama hii katika maisha yako. Kama hujawahi kukutana nayo huenda kuna siku utakutana nayo. Jaribu kuzingatia mdomo, meno, macho na paji la uso. Zingatia b… Read More
Trust Issues in Love and Relationships Trust issues in relationships are often those that end up breaking up relationships. If you cannot trust someone, you cannot have a relationship with them. You have to have trust as a foundation on which to build a rel… Read More
0 maoni:
Post a Comment