Usafiri kwenye jiji hili la Bongo - Dar es salaam inaeleweka kabisa sio mzuri hasa majina ya asubuhi na jioni wakati watu wanaenda kutafuta riziki sehemu mbalimbali, ila jamani wakazi wa Mbagala wamezidi....... Nahisi wenye mabasi nao wanawaendekeza bila kujali madhara gani yanaweza kutokea, hebu angalia hizi picha na ujiulize chanzo nini hasa? Hivi mwenye mabasi wakiacha hali hii iendelee mwisho wake ninini? sasa kwa hali hii wanawake wangapi watapanda magari haya au kama watalazimisha kupanda mojamoja watajidhalilisha kwa kufanya nguo zao za ndani hata nyeti zao zibaki wazi..................... Nafikiri wakati umefika wa wenye mabasi kupiga mkwara na kuwapangisha foleni na watu waingie kiustaarabu ... hali hii kiukweli haipendezi....
Thursday, 13 December 2012
Home »
Vituko mtaani
» Hali hii Mbagala hadi lini?
Hali hii Mbagala hadi lini?
Categories: Vituko mtaani
Related Posts:
Luis Suarez amng'ata Ivanovic Habari kamili bonyeza hapa - Chezea Suarez wewe? … Read More
Juma Nature awaponda EATV.... kisa atimuliwa kwenye show baada ya kuvaa Msanii mkongwe na maarufu nchini, Juma Kassin Kiroboto, aka Nature, ameonyesha kukerwa na kitendo cha kutimuliwa jana usiku katika kipindi cha burudani cha televishen ya EATV inayotizamwa africa ya mashar… Read More
Mwanamke anusurika kuuawa na PADRI amabye ni mpenzi wake huko kibaha Bi Celestina Ananius(35) amenusurika Kuuawa na Padri wa kanisa katoliki parokia ya hombolo iliyoko dodoma kwa jina la celestine john nyaumbana ambaye kwa Sasa anaishi kwenye Makazi ya … Read More
OMG.. Kansiime Anne meets her Husband's Ex Girlfriend … Read More
Egyptian bride ordered to pay £5,000 compensation to groom because she had secret surgery to restore her virginity He accused her of lying to him about her virginity before marriage Alleged she had operation to make it look like she was still a virgin Court in Abu Dhabi ordered her to compensate him for 'emotional damage' An Egypt… Read More
0 maoni:
Post a Comment