Tuesday, 4 December 2012

Jamani tuache masihara kabisa





Jamani mambo mengine wafanye watoto wakifanya wakubwa tunaweza kutoa majina tunaonekana kama tunawatusi...... tuongee ukweli kabisa hivi kweli huu ni uwanja wa ndege au masihara?  ukiuliza gharama ya ujenzi unaweza kukimbia .... jamani tufikie wakati tue serious ili hata ukihitajika kutoa maelezo watu wanakuelewa .....haya angalia uwanja wa ndege Singida .... Haya wahusika mpo?!!!

0 maoni: