Friday, 7 December 2012

Hizi Fashioni zitatuua....

Yaani hii inaitwa nisipitwe..... aaaah baada ya kuinjoy na ulichoamua kukifanya mwisho wake inakuwa kama mateso! jamani sasa hivi viatu na hii miguu vinaendana kweli au ndio mnatafuta ugomvi na watu mtaani?

0 maoni: