Thursday 20 December 2012

Aogeshwa mkojo baada ya kufumaniwa na Mume wa mtu

Ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni .................................. picha hii imechukuliwa huko uswahili  ikionyesha adhabu aliyopewa mdada mmoja baada ya kufumaniwa na mume wa mtu! ila hajijalikana kama mkojoaji ndie muhusika  i mean mke wa mume  aliyefumaniwa au ni shoga ya mke wa mume aliyefumaniwa? Ama hakika kuwa ujaone  aaaaaaah usidhani majumba ni mambo kama hayo ya kufikirika....................

0 maoni: