Sunday 16 February 2014

WEMA afunguka baada ya uzushi dhidi ya KAJALA na CLEMENT

To Kajala,
"I call her me corazon, my bff nd nothing is gona come btn us.... nampenda sana rafiki yangu na sitoacha... hakuna kitu cha kajala nisichokijua... you guys can say anything or watever u want to but i know my frend.... eti anatembea na clement dah wabongo... okay fine basi hata kama amgekuwa anatembea nae ukweli so wat... dont try to destroy ma friendship na wakati hamjui tumetoka wapi, mimi na kajala.... na hizi account mnazofungua jus because of kuharibu naanza kukereka nazo saaaana... tukaneni tu maana nshazoea kuona matusi but sio kuongea uongo usio na kichwa wala miguu... maana nikisema nikae kimya it will be like nachekelea this thing... well im nat happy na sijapenda hata kidogo.... Kay, u dont need to be depressed abt anything... kitu kisicho na ukweli kisikupe taabu.... im too mad yaani..."
 By  Wema Sepetu 

0 maoni: