Saturday 11 January 2014

Bifu la Baby Madaha na Diamond bado linaendelea? soma alichokisema Baby Madaha kwenye radio.....

Ili kudhihirisha bado wana bifu Baby Madaha jana kupitia  kipindi cha Hot Mix cha EATV aliendelea kutoa vidongo juu ya Rais wa Wasafi (Diamond ) .Baby Madaha alisema Diamond ni msanii ‘wahapahapa’ akimaanisha  Tanzania na yeye akifahamika kimataifa zaidi . kama haitoshi alisema kuwa pamoja na kufanya muziki, yeye pia ni muigizaji mzuri wa filamu wakati Diamond ni muimbaji peke yake na hivyo kamwe hawezi kuwa level moja ........................

0 maoni: