Friday 8 November 2013

Baby Madaha alamba dili ya kupiga show nchini Uingereza mwezi huu.

Sexy Tanzanian Singer Signed to Leading Kenyan Record Label Features in a Top Movie
Mwigizaji na Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya, baby Madaha amekula dili ya kwenda kupiga shoW ya mziki huko UK tar 30 ya mwezi huu wa kumi na moja. Akiongea na Bongomovies  manager wa mwanadada huyo Mr. Joe kariuki alisema itakua ni booonge la suprise kwa mashabiki wake wa pande hizo na atapata nafasi ya kuyazindua tena manukato yake "candy n candy"na gift bags zake zenye picha yake....."baby amejiandaa kuwapa swagg"mfeel swagg" na mdate na swagg"zake"alimaliza joe.....
Show hiyo inatarajiwa kufanyika katika eneo la BARKING ESSEX,LONDON kwenye Club iitwayo Club Diamondz na kiingilio kitakuwa ni paundi 19 sawa na shilling elfu 50 ya kitanzania
Kwa hisani ya Bongomovies
Picha na Ghafla.co.ke

0 maoni: