Saturday 8 December 2012

Mtangazaji ana Mimba ya Sharobaro?

Jamani hata arobain bado vituko na mastory kibao yameanza kutokea mitaani, Mara oooh Sharo  alitaka kuitisha kikao aoe shombe shombe, na sasa tunasikia  kuna mtangazaji kajitokeza ana mimba ya miezi 4 mmmmmm, sijui wengine tena watajitokeza kama marehemu Kanumba? Kwa nini msijitokeze mapema wahusika wakiwa wazima mnasubiri hadi wafe?

0 maoni: