Saturday 8 December 2012

Makalio yangu huwafanya wanaume wanizomee hasa nikivaa taiti"....nyakavuga wa bongo movie




Ukistaajabu ya Musa utaona ya filauni ....................Huyu ni msanii wa filamu aliyeamua kuyanadi makalio yake katika mitandao mbali mbali.......hiyo ni biashara au matangazo?....!!!  Eti kwa bashasha kabisa anasema " Haya makalio nimeyarithi kutoka kwa mama yangu mdogo na tangu nilipokuwa mdogo nilikuwa nimejazia, nimekuwa nikipata Usumbufu  sana hasa nikivaa taiti wanaume wananizomea kila ninakopita hasa Kariakoo huku wengine wakisema Mchina huyooo!!!! Natamani sana kupungua ila naogopa watu watasema nina ngoma  kwa sababu wameshazoea kuniona mnene.”

Haya mtazamaji kazi kwako ...... hapa alikuwa anatafuta ushauri au ndio biashara live.....

0 maoni: