Friday 4 October 2013

Baada ya issue ya WESTGATE Wanaume Kenya wapata kisingizio......... Soma hii story...


Wife: Ulikuwa wapi since friday
Husband: Tulitekwa nyara na al shabab since friday, noo, since saturday

Wife: Friday ama Saturday
Husband: Friday usiku, sisi ndio tulikuwa wa kwanza

Wife: Mbona haikuwa kwa news!!!!
Husband: Si unajua hii maneno ya military,,,,,, wanaficha details zingine,,,,,

Wife: ulishikwa na nani?
Husband: Tulishikwa na Erickoh na Jeremy lakini usiwapigie simu coz they are very shaken

Wife: Na mbona shirt yako ikona lipstik????
Husband: huyo ni Samantha White Widow ndio alikuwa anajaribu kunigrab then nkamskuma
ndio nkatoka mbio coz I didn't want 2 luz u my queen

0 maoni: