Friday 4 October 2013

20% amaliza bifu na Porducer wake!

Baada ya kuwa na BIFU kwa muda mrefu hatimaje  Kipenzi cha wengi (20% na producer wake Man water ) waamua kufunika kombe na mwanaharamu apite..... Leo ndani ya ofisi za kituo cha Radio cha Magic FM wawili hao wamemaliza tofauti zao na kuahidi kufanya kazi pamoja kama zamani

0 maoni: