Monday 22 July 2013

Ray C na Recho kufanya Collabo?

Mara baada ya kuanza kung'ara kwenye Muziki watu wengi walimfananisha Recho na Ray C kwa kila kitu ikiwemo sura, mitindo ya muziki, aina ya mavazi avaayo akiwa jukwaani, sauti kiasi cha watu kusema Recho ana copy na kupaste  kila kitu kwa ray C, cha ajabu na kushangaza kumbe Ray C nae anamzimia Recho sana...
Baada ya Janga la muda mrefu  Ray C yuko tayari anaonyesha dalili zote za kurudi kwenye game...... na kupitia ukurasa wake katika moja ya mitandao ya kijamii Ray C kafunguka na kuandika hivi .......
rayc1982Dogo Langu Kazini, kwasababu ananipenda na kunikubali lazma tutaimba wote wimbo mmoja for You guys cz hata mimi penda sauti yake sana!!!!!! Miss Upepo@rachelkizunguzungu

0 maoni: