Monday 13 May 2013

Clouds FM Wampeleka Lady Jay Dee Mahakamani?

Kuna fununu nimezipata kitaa kuhusu Kampuni ya Clouds Media Group, kumfungilia mashitaka msanii wa Bongo Fleva na kiongozi wa bendi ya Machozi, Judith Wambura  ‘Lady Jaydee’. Inasemekana Clouds imeamua kufungua mashitaka hayo baada ya Lady Jaydee kuchafua jina la kampuni hiyo na viongozi wake wawili wa juu katika mitandao ya kijamii hivi karibuni. Lady Jaydee alitakiwa kuripoti katika Mahakama ya Kinondoni kukabiliana na tuhuma hizo hapo…

Kama haitoshi au katika kuhakikisha habari ni za kweli  nimepata ukweli fulani (wa kufunguliwa  mashitaka) kupitia ukurasa wake wa Twitter  kama inavyoonekana hapo chini.......


Nimetoka mahakamani tayari

0 maoni: