Monday 14 January 2013

DULLY SYKES aomba radhi mashabiki wake kufuatia kashfa za kulawiti mtoto zinazomkabili BAUNSA wake ...

BAADA ya tuhuma chafu zinazomkabili baunsa wa msanii Dully Sykes , anayefahamika kama Arafat Ngumi Jiwe, za kumlawiti mtoto, sasa msanii huyo ameamua kuwaambia mashabiki wake kuwa amesitishwa  sana na  kadhia  hiyo kwani alikuwa hajui kama jamaa ana tabia hiyo chafu hivyo anawasihi watanzania wote kujua kwamba hajui lolote kuhusu  hilo na ameahidi kuanzia sasa hawezi kuendelea kufanya naye kazi. 

0 maoni: