Friday 14 December 2012

"MAKALIO YANGU HUNIFANYA NISIVAE NGUO ZA NDANI"......SNURA MUSHI


Ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni ............. nimeamini kweli biashara Matangazo!!!! msanii wa bongo movies - pichani kaamua  kuyanadi makalio  yake  katika  mitandao  mbali mbali na kujisemesha eti  utumbo kama si ujinga eti ....!!!  “Tangu nikiwa mtoto nilikuwa na makalio na haya nimerithi kwa bibi yangu kwani alikuwa mnene sana.” 



“Usumbufu ni mkubwa sana kutoka kwa wanaume, baadhi yao ukipita wanakuomba namba za simu.”

“Natamani kupungua kidogo juu lakini siyo makalio kwa sababu hili ni pambo kwenye kazi yangu ya muziki.


“Huwa napenda kuvaa magauni marefu kwa sababu huwa najiona ninapendeza, shepu yangu inaonekana vizuri na nimejisitiri pia.”

0 maoni: