Thursday 13 December 2012

Wasiotaka kuamini ndio hivyo Aunty Ezekiel kaolewa na picha za harusi hizi hapa...............








Picha za harusi ndio hizo, ila nina kigugumizi cha macho na akili................... huyu mume ana baby face au ni mdogo?  sina haikika kama macho yangu na akili yangu vinashida ya kukubali ninachokiona! haya nisaidieni na nyie wenzangu

0 maoni: