Tuesday 11 December 2012

Mapenzi hayana umri!!!!!!!!!!

Jamani  hivi nani kasema mapenzi yana umri au ukifikia umri fulani basi hisia za kimapenzi zinapotea? Hakuna kitu kinachoongeza urefu wa maisha kama mapenzi na hasa ukipata mtu wa kukupenda  mkapendana.... mapenzi ya kweli yanaweza umchukie Mungu kwa sababu ya kifo na kuhisi kushindwa kuishi kama mwenza wako atakufa..................... Tupendane, tuheshimiane ili tuweze kuishi maisha yenye amani na furaha...

0 maoni: