Kijiji cha Qunu champokea Mandela
Mwili wa hayati Nelson Mandela umepelekwa katika mkoa wa Eastern Cape kwa safari ya mwisho kabla ya kuzikwa siku ya Jumapili kijijini Qunu. Idadi kubwa ya watu walifurika barabara angalau kumtupia jicho shujaa wao na …Read More
0 maoni:
Post a Comment