Monday, 11 November 2013

Chezea kiinglish wewe? Shilole aumbuka.....

Bongo Daresalama! Chezea watoto wa mjini wewe? ama kweli ukistaajabu ya MUSA utaona ya filauni.... Hivi kuongea kiinglish ni lazima? Na usipoongea itakuwaje? mbona hivi jamani mnatuletea mambo meusi? Mbona kuna masupastaa kibao kwenye baadhi ya nchi hawajui kiinglish na wamekuwa maarufu? mbona hivyo jamani? mbona mnatafuta ugomvi na watu??????  .........Hivi karibuni Shilole aliamua kutumia lugha ya kiingereza kwenye ukurasa wake wa jamii"Instagram", katika moja ya njia zake za kuonyesha shukrani kwa  Muongozaji wa video yake ya ‘Nakomaa na Jiji’ ..... Bahati mbaya, ung'eng'e kwake inaonyesha ni kitendawili!!!!!!  na hii imepelekea kuwavuta watu wengi kusoma ujumbe huo na kuanza kujadili kama Kiingereza ni kitu cha lazima au watu masupastaa wetu wanaweza tu kutumia lugha yao? hebu soma hapa chini uone SHILOLE alivyoandika....... 
I did ever think I would do a nice video like this thank you alot to my director Nisherbybee. 

0 maoni: