Mwinjilisti aua mke, ajinyoga
MKAZI wa Kijiji cha Gama, wilayani Bagamoyo, Elikia Daniel (35), ambaye pia ni Mwinjilisti wa Kanisa la Anglikan katika kijiji hicho, amekutwa amejinyonga baada ya kufanya ukatili wa kumuua mke wake, kwa kumkata panga kichwa…Read More
LULU apata mchumba?
HAYAWIHAYAWI hatimaye yamekua! Siku chache baada ya sexy lady wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ kutangaza sifa za mwanaume atakayemchumbia, amejitokeza mtu anayetaka kuchukua jumla na si siri tena, Aman…Read More
0 maoni:
Post a Comment