Ama kweli mjini shule! Ombaomba feki anaswa live....
WAKAZI wa mjini Iringa hivi karibuni wameshuhudia kituko cha mwaka baada ya kumnasa mzee mmoja akijifanya ombaomba kwa kuigiza ulemavu asiokuwa nao. Ombaomba huyo feki alijifanya hana mkono wa kushoto na mguu wa kulia…Read More
0 maoni:
Post a Comment